BWANA Yesu apewe sifa wandugu............
Inawezekana umeokoka na Yesu anaishi ndani...ila inawezekana pia haujamjua huyu Yesu vizuri........ kudhibitisha haya soma Marko 4:35-41, utaelewa. ukisoma mstari wa 41 unasema" wakaingiwa na hofu kuu, wakaambiana, ni nani huyu hata upepo na bahari humtii?
Hapo tunaona kwamba wanafunzi wa yesu walikua nae siku zote, waliona miujiza yake, ishara na maajabu lakini siku ya dhoruba walishangaa kuona upepo na bahari vikimtii.......!!!! kwaiyo hawakumjua Yesu vizur. nimepata mafunuo katika njia za kumjua Mungu vizur.......fuatilia!
1 KUMTAFUTA KWA BIDII
Mithali 8:17 inasema" nawapenda wale wanipendao, na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. hapa anasema kuwa anatupenda...inawezekana unampenda Mungu na kwanza sidhani kama kuna mtu ukimuuliza kama anampenda Mungu atakujibu kuwa Hampendi, wote watasema wanampenda ila ukiendelea anasema wanaomtafuta kwa bidii ndio watakao muona. nikagundua kuwa kuna tofauti ya KUMPENDA, KUMTAFUTA na KUMTAFUTA KWA BIDII. inawezekana unampenda na unamtafuta, sasa nataka uweke bidii ili uweze kumwona. Zaburi 105:4 inasema "mtakeni Bwana na nguvu zake, utafuteni uso wake sikuzote......sasa hapa bidii iko wapi? ni pale alipomalizia kwa kusema SIKUZOTE! Mithali 13:4 inasema "nafsi ya mtu mvivu hutamani asipate kitu bali nafsi ya mwenye bidii itanenepeshwa.
2 KUMTAFUTA KWA MOYO WAKO WOTE
Kuna nyimbo tulikua tunaimba inasema" jesus is number one, is everything to me! sijui kama huwa unamaanisha ukiimba hii nyimbo? Yeremia 29:13 inasema" nanyi mtanitafuta na kuniona, mkinitafuta kwa moyo wenu wote" hapa anamaanisha kuwa u give up everything just to have him. kumbuka Mathayo 6:33, sasa watu wanaigeuza hiyo na kuweka mambo yao mengine mbele.
Kumb 4:29 inasema"lakini huko, kama mkimtafuta BWANA Mungu wako utampata, ukimtafuta kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote. Mathayo 22:37-38 inasema" akawaambia mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili yako yote. ni ngumu wapendwa kumjua Mungu ipasavyo kama bado hatufanyi kama maandiko yasemavyo....Bwana atusaidie!!!!
3 KULIJUA NENO LAKE
mwalimu anapofundisha wanafunzi darasani huwa anawaachia notes wakasome...unajua kwanini? ili walijue lile somo vizuri kama isingekua ivyo basi ingeishia darasani tu na mtiani unakuja. sasa hivyo hivyo, mafundisho kanisani hayatoshi lazima tuwe na muda wa kumtafuta Mungu kupitia maandiko yaani NENO LAKE! Mathayo 22:29 inasema" Yesu akajibu akawaambia, mwapotea kwa kuwa hamjui maandiko wala uweza wa Mungu. inamaana kupotea kwetu inasababishwa na kutokujua neno la Mungu na kwa kulijua neno la Mungu inatusaidia kumjua zaidi na zaidi. Soma Mithali 2:1-5...mstari wa 5 unasema" ndipo utakapo fahamu kumcha Bwana na kupata kumjua Mungu.
4 KUISHI MAISHA MATAKATIFU
Mungu anaheshimu sana watakatifu...sijui kama unajua hilo! soma Zaburi 25:14 inasema" siri ya Bwana iko kwa wale wamchao, na yeye atawajulisha agano lake" sasa unataka nini tena? neno li wazi Mungu ukiwa karibu na Mungu kwa maana ya utakatifu, utamjua Mungu vizuri. ipo mifano ya kina henoko, eliya n.k.
5 KUWA NA ROHO MTAKATIFU
inawezekana ukawa unaishi kumbe roho alishaondokaga zamani, pengine ulijichafua akakuacha maana we ni hekalu lake! Wakorintho 2:10-11 inasema" lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho, maana Roho huchunguza yote hata mafumbo ya Mungu. maana ni nani katika binadamu ajuaye mambo ya binadamu ila roho iliyo ndani yake? vivyo hivyo na mambo ya Mungu hakuna afahamuye ila Roho wa Mungu.

Wapenzi Mungu awabariki sana kwa kusoma. usidhani utapoteza mda kwa kusoma, na kwa yeyote atakayesoma somo hili nakuombea sasa;
Mungu anaenda kubadilisha maisha yako na hautakuwa kama ulivyokuwa hapo awali........mwenye matatizo yanaondoka katiika jina la Yesu Kristo, mgonjwa unapokea uponyaji wako sasa, umekosa amani Mungu anakupa amani sasa na hakika utaenda kuuona ukuu wa Mungu katika maisha yako...AMEN
STAY INSPIRED!!!

Mungu akubariki sana ndugu
ReplyDeleteamen amen asante kwa neno zuri mtumishi
DeleteMungu akubariki mnoo mnoo kwakweli nimefuraiya somo mnooo🤝
DeleteAmen Amen ubarikiwe sana Mungu akuzidishie
DeleteEnter your comment...amina
ReplyDeleteMungu akubariki ibrahim
DeleteAmen
DeleteEnter your comment...amina
ReplyDeleteAmina mtumish
ReplyDeleteMungu akubariki issa isack
DeleteAmina mtumish
ReplyDeleteAmeeen ubarikiwe mtumishi
ReplyDeleteYou too be blessed
DeleteUbarikiwe kwa ujumbe mzuri.
DeleteUbarikiwe kwa ujumbe mzuri.
DeleteMungu aendelee kukubariki na kukuinua asante
DeleteMungu akubariki sana mtumishi nimeipenda hiyo mungu aendelee kukupatia ufunuo tubarikiwe
ReplyDeleteAmina nawe pia ubarikiwe
DeleteAmina Mungu akubariki pia
DeleteNimesoma barikiwa daima
ReplyDeleteAmina nawe pia be blessed
DeleteMungu akuzidishe
DeleteAmen!
DeleteAmina wapenz wangu Mungu awabariki Sana Sana....kwa kunitia Moyo!!!!
ReplyDeleteAmen
ReplyDeleteNIMEPATA KITU CHAKUNISAIDIA. MUNGU AKUPE MASOMO MENGINE ZAIDI ILI KULIIMARISHA KANISA. AMEN
ReplyDeleteNimejifunza kitu hapa
ReplyDeleteUbarikiwe sana mtumishi kwa somo nzuri
ReplyDeleteUbarikiwe sana
ReplyDeleteUmebarikiaa
ReplyDeleteMungu akubariki Mtumishi pamoja na Kristo hakika nimepokea Mabadiliko ktk maisha yangu
ReplyDeleteUbarikiwe xan
ReplyDeleteAmen
ReplyDeleteAmina sana nimepata ujumbe mzuri umenibariki Mungu akuinue zaidi
ReplyDeleteMungu akubariki sana mtu wa imani kwa somo n
Deletezuri
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
ReplyDeleteAsante sana Mungu akubariki kwa somo zuri
ReplyDeleteAmen ...
ReplyDeleteNeno la Mungu linaishi...
Amen tubarikiwe San Mtumishi wa MUNGU
ReplyDeleteAmina mtumishi wa Mungu
ReplyDeleteMungu akuinue tena barikiwa
ReplyDeleteAmee ubarikiwe mtumishi wa MUNGU
ReplyDeleteAmina,barikiwa sana
ReplyDeleteAsante kwa neno barikiwa
ReplyDeleteBarikiwa
ReplyDeleteubarikiwe, umenifanya nichukue notes kabisa ili nipate kujisomea mara kwa mara
ReplyDeleteMungu akubariki sana brother
ReplyDeleteAmeen
ReplyDeleteAmeen
ReplyDeleteGod bless u
ReplyDeleteAmen mungu akubariki ndugu
ReplyDeleteAmeen
ReplyDeleteAmen be blessed
ReplyDeleteMungu akubaliki sana
ReplyDeleteAMEN.... BLESSED ALOTS 🙌
ReplyDeleteAmen, barikiwa sana mtumishi wa Mungu
ReplyDeleteBarikiwa sana Mtumishi wa Bwana Yesu Kristo
ReplyDeleteKUMJUA MUNGU NI ZAIDI YA KUWA NA MAARIFA YA DUNIA HII
Mungu akubariki, ahsante kwa huduma
ReplyDeleteAmina kwa neno
ReplyDeleteNeno zurisana
Deleteamina ubarikiwe na Bwana kwa fundisho la baraka
ReplyDeleteAsante sana mungu akulide umenielinisha sana heko sasa nimepata ujuzi
ReplyDeleteMtumishi umeandika kweli ya kumjua mungu , mungu amekuinua na azidi kukushushia mungu roho mtakatifu🙏
ReplyDelete0620526824
DeleteMTUMISHI WA MUNGU, NIMEBARIKIWA SANA NA HIZI FAIDA AU NJIA ZA KUMJUA MUNGU ZAIDI.
ReplyDeleteMungu akuinue zaidi Mteule wa Yesu.
Kutembe katika njia za mungu so powerful indeed
ReplyDeleteAbarikiwe Sana nimefunguliwa kupitia Neno hili!!
ReplyDeleteUbarikiwe sana mtumishi was mungu aliyehai, nimejengeka
ReplyDeleteBarikiwa sana mtumishi,Limekuwa ni neno la wakati kweli
ReplyDeleteNapokea katika jina ya yesu
ReplyDelete🙏🙏
ReplyDeleteThanks God bless you
ReplyDeleteAmen
ReplyDeleteMungu akubariki sana kwa ujumbe wako mzr toka kwa mungu
ReplyDeleteMungu akubarik mtumishi nimealikiwa sana sana
ReplyDeleteGod bress u
ReplyDeleteAmina ..
ReplyDeleteCool and that i have a neat provide: How Much Home Renovation Cost house renovation companies near me
ReplyDeleteAmen
ReplyDeleteBinafsi nimepata uelewa Mkubwa sana Kwenye namna ya mjua Mungu Asante sana.
ReplyDeleteUbalikiwe sana Kwa SoMo zuli nimebalikiwa sana
ReplyDeleteAmen balikiwa mtumishi wa mungu
ReplyDeleteAmeen ubarikiwe pia
ReplyDeleteMungu akukumbuke kwa Chakula kizuri usitawi na kufanikiwa
ReplyDeleteBe blessed man of MOST HIGH GOD
DeleteAmeeeen Ameeeen
ReplyDeleteMungu akubariki sana
UbalikUba na mungu
ReplyDelete